Sehemu Ya (8) : Nani Wa Kumuelezea Matatizo Yako Katika Mahusiano??
Milele na Milele usimruhusu Msichana wako amueleze Matatizo
yake Mvulana Mwingine hata kama ni kwa kisingizio cha rafiki.
Mwanzoni atampa "A Shoulder to lean on" lakini
Baadae atampa "A Dick to ride on"
Mwanamke mwenye Stress ni vulnerable and Weak and whoever
gives her shelter is likely to cause more problems to your relationship.
Kama una matatizo na Ur Girlfriend make sure mnayamaliza
mapema mkiwa wawili kabla hajaanza kutafuta wa kumwambia, lasivyo kuna mtu
atadandia matatizo na kuiba asali yako... Ni hayo tu.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment