Sehemu Ya (57) : Ujumbe Wa Kuwatia Moyo Ndugu Zangu Wanao Fall In Love.. Na Watu Wasio Sahihi.
Ukijitoa Kumpenda mtu na kumpa kila kitu, halafu huyo mtu
akashindwa kujua jinsi
gani anapendwa na wewe akakuumiza, hupaswi kujilaumu...
Anapaswa yeye kujilaumu kwa kushindwa kusoma alama za nyakati kwamba anapendwa
na mtu sahihi na anapewa mapenzi sahihi... Atakuja kujua baadae sana kwamba
kuna mtu sahihi aliwahi kumpenda kwa usahihi na yeye hakuwa na macho ya kuliona
penzi hilo kwa usahihi...
Usilie wala kujilaumu ukikumbana na watu wa namna hii,
tafuta mtu mwingine Mmwagie Huba la kufa mtu, ipo siku utakutana na mtu
atakayeona Penzi lako na atalipokea kwa miguu na mikono huku akitabasamu.
NEVER GET TIRED TO FALL IN LOVE,THE RIGHT PERSON IS WAITING
FOR YOU SOME WHERE.... Am waiting for you here hahaha somewhere in Africa..
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter ,@KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment