Sehemu Ya (56) : Hisia Za Mwanamke Ni Za Ku Boost.. Siku Zoote.
Wanawake wachache sana wana hisia za karibu na wako tayari-tayari
kwa
kipute.. Asilimia 98 ya wanawake lazima kuwa-boost vizuri ndo gari iwake.
Ukitegemea Mwanamke ajiboost mwenyewe we umetulia tu
unasubiria kupiga start UNAFELI.
Hili ni jambo la kwanza unapaswa kujua na usitegemee
Mwanamke atakwambia hili. Unapaswa kulijua wewe mwenyewe na ujue jinsi gani ya
kutegesha betri yako yenye Umeme kuielekezea kwenye Betri yake isiyo na umeme
na KUBOOST.
Wanaume Mpo??? Kama Betri yako haina Umeme basi waachie wenye Betri mpya
wamuendeshe Mkeo... Mwanamke ni MAANDALIZI.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment