Sehemu Ya (41) : Kuna Wanaume Wana Imani Kwamba Mimba Zinachipua Kama Shina La Mgomba.


Lazima tuwe responsible kwa matendo yetu wenyewe na sio kutafuta vijisababu pale matunda ya matendo yetu wenyewe yanapotokea...Ulipokuwa unakatika
kama Steji Shoo wa Fally Ipupa ulikuwa unajisikia raha sana na hukujua Debit transaction ina corresponding Credit transaction... Haya mtoto wa watu amekwambia ana Ujauzito wako unamuuliza, ''MIMBA YA NANI''

Kwani we mwenzetu ulikuwa unamwagilia VANILLA YOGHURT ama?? Au ulijua kuna mimba zinachipua kama shina la mgomba...Wanaume mtanisamehe.... Unapo-shake well before use ujue na kushake well after use.

Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies 

WhatsApp +255 715 758 021

No comments