Sehemu Ya (38) : Pete Ya Ndoa Haina Folder La Recycle Bin.


Kama leo hii, akiwa Boyfriend/Girlfriend wako, HUMHESHIMU, hauheshimu kwamba wewe ni mchumba wa mtu, muda wote Zipu iko Active kama Internet
Browser ya Opera Mini, hakuna muujiza wa wewe kumheshimu mtakapofunga ndoa. Unaona raha unavyojiiba kwa siri kwa sababu hajui na hana jinsi ya kujua kwa sababu amekuamini kwamba huwezi kumsaliti, unaitumia hiyo kama gia ya kumuona yeye bwege mtozeni, kubwa jinga mali zaliwa hana habari... Unakula nyama ya mtu, hutaacha kamwe.


Waheshimuni wanaowaheshimu, hata jibwa koko na uchakaramu wake kwenye kila jalala lakini hali Chipsi... Usipojifunza kuishi nae kama mke/mme kabla hamjaingia ndani ndivyo mtakavyofeli kuishi kama mke/mme baada ya kuingia, Pete haina Folder la Recycle bin.

Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies 

WhatsApp +255 715 758 021

No comments