Sehemu Ya (35) : Ladies, Ni Rahisi Saana Kumjua Mwanaume Mwenye Future Na Wewe.

Ni Rahisi zaidi kumjua Mwanaume aliye fall in Love na mwili wako na sio moyo wako kuliko kumtambua Mzee wa Kichaga kwa pozi lake la kutembea, suruali
zake za kushonesha, miguu myembamba na gari yake aina ya Pick Up kwa ajili ya kubebea nyasi...

Unataka kujua nani ana future nani hana??? Msikilize maongezi yake... Msikilize Priority zake.... Msikilize anakuomba nini kwanza mnapoanza tu... Msome tamaa zake machoni... halafu kataa kupanua miguu... UTAONA WAZI WAZI.... Haihitaji kupiga ramli wala kikombe cha babu wa Samunge...

Mwanaume anayeomba usujudie kitanda chake cha gheto kabla hujaona sura za wazazi wake muogope, Future yako itamezwa na kuta 4 za Gheto lake na usitegemee zaidi... You wanna know a Real Man with a future with you?? CLOSE YOUR LEGS.. NIMEMALIZA.


Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies 

WhatsApp +255 715 758 021

No comments