Sehemu Ya (34) : Kwenye Mapenzi Ukiwa Na Tabia Kama Bonde La Jangwani !UTAHAMWA!


Kama wewe ndio Boyfriend/Mchumba wake wa kweli na humfanyi awe na furaha, Humpi SMILE anayotakiwa kuwa nayo, mtoto wa watu mzuri tu lakini
anazeeka na makunyanzi kwa sababu ya stress zako na jinsi unavyomtreat kama Idd Amin kaona wahindi kampala, halafu kuna mtu mwingine pembeni, kila akikaa na Mchumba wako mtoto wa watu anacheka mpaka basi, Kila akiwa nae anampa lile tabasamu ambalo wewe humpi.. Unategemea nini??


Kisa cha kung'ang'ana na wewe Al-Shabaab Lover unayezeesha uso na hisia zake na kuacha kumkabidhi huyu anayemfanya acheke na ku-smile ni nini?? Kwani wewe una nini ambacho yule Mwanaume mwingine hana?? Au una mioyo mitatu kama tairi za Bajaj?? Endelea tu kujifanya Mwanajeshi kwenye Mapenzi, endelea kumnyima raha mtoto wa watu, kuna jamaa pembeni wanamsubiri kwa hamu sana wampe vyooteee ambavyo humpi.... 

Girls wengi wamecheat kwa sababu hii... Mnasababisha wenyeweeee... UTAHAMWA! Mfanye Mwanamke asmile, usiruhusu Mwanaume mwingine ampe smile demu wako kwa niaba yako. INAKULA Kwako.

Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies 

WhatsApp +255 715 758 021

No comments