Sehemu Ya (33) : Zijue Tabia Za Wapenda Kupasha "VIPORO" Kwenye Mahusiano.


Ukiona EX wako amekuandikia meseji, ''Nimekukumbuka sana, I've realized I still Love You and I miss you so Much'', Ametumia tu Tafsida... Maana halisi ya Meseji yake ni, ''Ewe Mpuuzi, Nimemiss sana sehemu zako za
(SIRI) sijaziona muda mrefu natamani kucheza nazo Ngololo..." Hawezi tu kukwambia Straight kwamba alichomiss kwako ni sex tu, anapitia mlango wa Uani ili atesti jinsi ulivyo Mbulula. Funga Mlango wako wa Uani na Komeo la Chuma.

Komesha Ujinga. Nitakushangaa ukitumiwa hiyo meseji halafu ukapata goose bumps, halafu ukaanza kujiambia ''Awww he's so sweet amenimisi''

Ukiamini jiandae kugeuzwa Ndafu ya Harusi, harusi ikiisha huna thamani tena.

Dawa ya watu kama hawa, ukipata meseji yake mjibu hivi, ''Dear EX, Tembelea zahanati iliyo karibu ukapimwe Minyoo ya Kinyarwanda''.

Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies 

WhatsApp +255 715 758 021

No comments