Sehemu Ya (32) : Kuna Watu Wanaogopa Kuachana Na Wapenzi Wao Eti Kisa Anasema List Itakuwa Ndefu.... Una Akili Wewe??
Jamaa linamtesa kishenzi, Linamkung'uta ile ile ila ye
katulia tu anamwaga michozi deile ila haondoki... Kisa Listi!, eti
ah,nikiachana na huyu ntakuwa na Wanaume 10,
hapana aisee ntaambiwa nna timu ya
Mpira...Yaani unashindwa kuwa responsible kwa ur own happiness kwa kuogopa eti
maneno ya watu.. Kwa Taarifa yako hao unaowaogopa watakucheka una timu ya Mpira
wao wana Listi ndefu kama Wachawi walioko Nigeria...
Bora Kipi, listi iwe
ndogo huku unateseka au uwe na listi ndefu lakini ufikie lengo la kuwa na
Mapenzi bora na ya Furaha na Mme na familia?? Eti listi itakuwa kubwa bora
nikae hapa hapa.. Wazimu!
Past is a Past, u
cant erase it lakini u have a Pen in ur hand, u can write what u want ur future
to be... Sasa listi ya Past inahusu nini??? Nakuuliza wewe, listi INAHUU???
Mnajifunga wenyewe
kwenye Kamba za Bamia halafu mnalalamika zinaumiza kama Katani, Kata hizo
kamba, acha fikra potofu, piga hata listi watu 100 lakini ukifika destiny yako
no one will bother about your past, na hata waki-bother wewe umetulizana kwenye
familia na watoto na mme bora na wao watakuwa bado Manungayembe kitaa
wanakutazama wewe kama role Model...
Girls, Wake up... List is just a number.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment