Sehemu Ya (31) : Je, Unawajua Wanawake "Parasite"??
Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii
tabia... Unampenda Mwanamke kabisa from ur heart, unajipanga unampiga saundi.. anakujibu,
''How old are you kaka'' unamwambia am 29 years.. utamsikia,''Oh my Ghosh, ur
still a kid, mi
nadate guys who are 45 years and above... Wanajua kupenda, they
are so caring, yaani nyie vijana mnasumbua sana''. Sio tunasumbua, anajua
kabisa miaka 29 bado ndo unasaka hela, ndo umeanza maisha huna cha kumhonga, ukijitahidi
sanaaa utampeleka shopping Karume na hiyo hela itakuuma kishenzi!
Anakuita Kid bila
aibu wakati yeye ana miaka 23 tu halafu eti ana mahaba na jitu la miaka 47.. Uongo
mtupu! Ina maana mtu hawezi kupenda na kucare hadi afike miaka 45?? Nyie semeni
tu mnawalia timing coz mnajua mtu mwenye miaka 45 anakuwa ameshajipanga, amefanya
kazi ana hela, unajifanya unampenda kumbe Parasite tu unataka kumnyonyoa mafao
yake ya uzeeni, hamna hata aibu..
Mnapenda sana vitu ready made, tengenezeni
vya kwenu, ukiona mtu ana miaka 45 jua kuna Mwanamke mwenzio amefanya kazi
kumfikisha hapo alipo, we unakuja unadandia tu,,, Kama kweli una mahaba tafuta
mwanaume wako, panda nae daladala za Buguruni mrukie wote dirishani, msotee
maisha kwa kutembelea TZ 11 hadi siku apate gari mfaidi wote halafu akifika
miaka 45 uone kimwanamke cha IFM kinamsogelea eti he's caring uone inavyouma, utatamani
umpige patasi ya kisogo...
Gold diggers, waone kwanza, msione gesi mtwara
mshaanza kuandamana! 45years guy waiting for u student of 23 years, ina maana
miaka yote hiyo alikuwa Stevie Wonder au??
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment