Sehemu Ya (29) : Ukishindwa Kabisa Kufuata Moyo Wako... Utaishia Kuwa Mtumwa Wa Mapenzi Milele.
Kuna watu wana Mikwara sana, ukiachana nae anaanza Maneno ya
shombo, wengine hudiriki kukwambia 'you cant live without me utarudi tu',
unajiuliza huyu mtu ana Hisa
kwenye mishipa yangu ya moyo au ana mrija wa
Oxygen yangu ya kutumia kesho??
Kama nilizaliwa peke yangu kwanini nisiweze kuishi wewe
ukiondoka?? Maneno ya mkosaji haya, usiyasikilize kamwe! Unapoamua kufanya Maamuzi magumu usisikilize kingine
chochote, Follow ur heart. Wengi wamegeuzwa watumwa kwa kuamini they cant live
bila watu fulani, kisa wamezoeana, au wamekaa muda mrefu kwenye mahusiano,
unahisi kama hutaweza... Hamna kitu kisichowezekana, Mungu ameumba kusahau,
utapona maumivu na utasonga!
Hakuna destiny rahisi ya Kimapenzi bila kufanya maamuzi
magumu, lasivyo Jiandae kuwa mtumwa wa mtu fulani, binadamu fulani ambaye naye
amegundua wewe ni dhaifu na anatumia udhaifu wako kukutesa maisha yote... Amua
leo, Uwe mtumwa wa mtu au utengeneze furaha yako kwa Kumove on kupata Love of
your life... Is this from experience? Sito jibu 😂😂.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment