Sehemu Ya (28) : Je, Unazijua"BIKRA" Feki??
WANAUME, kuweni makini na Bikra feki... Wanawake wana mbinu
nyingi sana za kukuingiza kingi, ndoa imekuwa mtihani kwao, wanafanya kila
balaa ili wakuchote akili uingie kingi. Ukiacha hawa wengne ambao wameamua kuwa
Washirikina kwa kwenda
kwa Waganga na kupewa dawa za kukukamata, kuna hawa
wanawake ambao wametumika kama Bajaj za Salasala, wakikuona umekaa dizaini ya
muoaji halafu una hela, utapigwa tukio mpaka ushangae. Atajifanya descent na
hajui kitu, atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu... OGOPA SANA!
Siku ya kufanya Mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za
kuzuga anaumia, ukishika nywele analia... ukimgusa kifua anapiga yowe kama
anakeketwa, ukianza kuzama ndo kabisa, unaweza kudhani uko kwenye Msiba wa
Kinyakyusa.... utasikia taratibu, utafinywa, utapushiwa kama vile ndo unaitoa,
kumbe wala...
Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja
amekamulia Ndimu, mchanganyiko wa parachichi na tikiti maji, Sabuni ya Kaisiki na
Vim ya kuondolea harufu chooni... Ukigusa unahisi bikira kumbe wala,
umetegwa... Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa
utagundua...
Dawa yao unakaa na beseni, akizuga unamwagia maji pale juu,
litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai... BEWARE
na hizi bikira za makuti! Mnisamehe kama maneno hayana maadili Leo mwenzenu am
less serious nmejiskia kuongea Tu.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment