Sehemu Ya (27) : Mwanamke Usiishi Na Mpenzi Wako Kama Mfuga Kuku , Kuku Hawaongei , Wewe Una Mdomo.


HII NI KWENU WASICHANA: Huu Mchezo Mnao Sana...  kwamba kuna muda Boyfriend zenu hawapokei simu wala kujibu message... Mnachukua strange numbers mnabeep,
wanapiga simu... mnahoji kwanini Wanafanya hivyo na kwanini hawapokei simu zenu.
Ningependa niwaambie siri... Sometimes, Wanaume wanahitaji space.. Si kila Muda ni wa mahaba tu, Baby Baby this and that 24hours zinatuboa.. 

Wanaume wameumbwa tofauti, they need to be alone sometimes kufanya other issues, si kwamba wewe sio muhimu, ila kuna ya muhimu zaidi... They also need time with friends... Sasa wewe unakazana kutext, asipojibu unakazana kupiga... Utabaki kuwaza hakupendi, anakupenda sana ila humpi muda wa kupumua.. Mahaba yamezidi!

Too much of anything is harmful, kuwa na kiasi.... Mjue mpenzi wako, Ongea nae, utajua haya ninayosema... Otherwise utabakia kulalamika, Girls do your Homework, usiishi na mpenzi kama mfuga kuku, kuku hawaongei, wewe una mdomo... Know Your Lover(KYL), maana hata Benki wana KYC-Know Your Customers!

Ukielewa itakusaidia! Stop Complaining.

Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies 

WhatsApp +255 715 758 021

No comments