Sehemu Ya (26) : Moja Ya Swali La Kibwege Saana Kuuliza Kwenye Mahusiano.
PART 1:
Boy: Baby kabla yangu umekuwa na Ma-Ex wangapi??
Girl: Mmmmmh (huku anaangalia juu, anahesabu 1,2,3), wewe ni
wa 3...
Sijawahi kuona Msichana anasema ana ex 28, wao woote wanajua 1,2,3,4
mwishooooo!!! Sijui waliambiwa 4 ndo namba ya bahati!
PART 2:
Wewe Mwanaume na ndevu zako, kabisaaaa, unaacha
mambo ya msingi unaanza kumuuliza Msichana alikuwa na Ex wangapi kabla yako..
Idadi itakusaidia nini??? Unataka ujue sura zao uwachore??? Acha kujigeuza
afisa wa sensa, kama amekupa moyo uliomuomba jukumu lako ni kumpenda na sio
kuuliza maswali ya kibwege, akijibu 32 unataka uwaajiri au???Get a life 😂😂
Jali maombi kwa nyakati kama unavojali salio kwenye simu yako.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment