Sehemu Ya (25) : Jinsi Wanawake Wanavochangia Upungufu Wa Nguvu Za Kiume.


Kufikia Mwaka 2020 Wanaume asilimia 70 watakuwa na Upungufu wa Nguvu za Kiume, sio kwa sababu nyingine ila Wanawake mtakuwa mmesababisha. Hawa jamaa wamezaliwa marijali lakini kwa hizi Style zenu hizi, hawafiki mbali. Ni
ukweli usiopingika kwamba Wanawake wa Kiafrika wana aibu, japo wengine mnafoji tu mishipa ya aibu ilikatika kitambo, ila mnaekti muonekane wastaarabu.

Tendo la Ndoa linakuwa dominated na Mwanaume.... Anajiandaa mwenyewe.... Akuandae wewe, ye kasimama tu, hadi moto ukolee, umetulia, na unategemea akuridhishe pia.. Duh, This is hell of a job.. Wanaume wanatumia nguvu nyingi sana kupandisha hisia hadi kuanza tendo  anabadilisha Picha za Rihanna, Beyonce, Ciara, Mwasiti, hadi akulete labda ije picha ya Nicki Minaj ndo afande abdala kichwa-wazi anapata mzuka... 

Kwa mtindo huu wa kuekti, na kutowasaidia waume zenu kuinjoi tendo  kuanzia mwanzo wa maandalizi mpaka kufikia Kitonga, Watachoka na kuna kipindi watasema kabisaaaaaa maana Image zoteeee wanazotumia kupata hisia zitakuwa hazisaidii tena... Kila ukiambiwa hivi akhaaa mi nasikia kinyaa, fanya hivi ah bwana unanisumbua.. Haya wee.. NI HAYO TU.


Acha tuendelee kuhonga mambo ya seduce me hata kama Jana umelala kwa pass ndefu na Leo huna uhakika wa kula ila umetenga mda kusikiliza seduce me hizo zilipendwa... Don't Catch Feeling..  Am Just Saying.😂😂😂


Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies 


WhatsApp +255 715 758 021

No comments