Sehemu Ya (24) : Hivi Ni Kweli "Vimada" Kwenye Mapenzi Wana Nguvu Zaidi Ya"BreakDown"??
Hata Biblia imeandika huwezi kutumikia mabwana wawili,
lazima utampenda huyu na kumchukia yule.... Huwezi kuwapenda wote at the same
level. Hiyo ni principle ya kibiblia lakini hata kwenye
Mapenzi, huwezi
kutumikia Maboyfriends wawili au mademu wawili, lazima mmoja atakukuna kuliko
mwingine utampenda zaidi..
Utaipenda zaidi nonihino ya yule kwa sababu iko
tofauti na ya yule... Utapenda masham sham ya demu yule na utampenda zaidi kuliko
yule gogo anayetulia kama anasubiri dripu ta Kwinini!
You can love two people,but you can never love 2 people at
the same time na ukawapenda sawa, haiwezekani... Kama wewe ni sidekick wa mtu,
halafu anakwambia nakupenda wewe kuliko mke wangu, jiulize kwanini alimuoa yule
halafu wewe unafanywa kimada mtaishia kusema Sharing is caring.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment