Sehemu Ya (23) : Ukiendekeza Mazoea Kwenye Mapenzi Watakusaidia Kushare.
na penzi analostahili kwa Penzi lake juu yako, ukawa bize na
Kokoto zingine na kuiacha dhahabu yako nyumbani imejaa vumbi... Dhahabu hata
ijae vumbi vipi haiwezi kuwa na thamani sawa na Kokoto ya Tegeta!
Siku
atakayoondoka utajikuta una lori zima la kokoto lakini halina thamani, utakuwa
umepoteza Dhahabu ya thamani kwa sababu tu hukuijali ilivyopaswa na wengine
waliotambua thamani yake waliijali on ur behalf!
Mapenzi hayana
Mazoea, hata muwe na miaka 9 kwenye Mapenzi msiishi kama wazee, hakikisha
Mapenzi yenu yananukia upya kama mmeanza jana, kila anayewaona awatamani...
Mazoea yataua penzi lenu, Once ukiingiza Mazoea utaona dhahabu ni kama bati
wakati majirani wanaona jinsi inavyong'aa na wanaitamani...
Respect your Lover,
Value even the small things he/she does to you, hata akileta boxer ya 800 ya
Karume mwambie asante maana atleast ulicross kwenye mind yake akanunua...
Mazoea ni adui wa Mapenzi, Kill it! Hawakawii kuimba naomba nsaidie kushare.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment