Sehemu Ya (21) : Using'ang'anie Kudate Na Matoroli Wakati Kuna Ferrari Zinakusubiri Nje


Usimlazimishe Kipofu kucheza drafti.. Kama amesema hakupendi tena na hamna future pamoja using'ang'anie na kulia machozi. Angalau amekuwa mkweli kwa nafsi yake kwamba kwenye Future plans zake wewe sio
Shareholder, shukuru Mungu kwa kutoswa maana huwezi jua huo Mtoso utakufungulia neema gani. Kuna watu mnajifungia kupata Future Husbands/Wives kwa kung'ang'ania kudate na Matoroli wakati kuna Ferrari zinawasubiri nje!

Na ukitoswa usisusie mapenzi, mapenzi hayasusiwi, shukuru halafu acha mlango wako wazi mtu mwingine ajaribu Ku-Format previous Files zenye Virus na Ku-Install New love in your Heart... Tumia machozi yako when necessary, sio unalialia tu kama Landrover ya Jeshi, kuna watu mnawalilia hawana hata hadhi hiyo maana hata kwenu hawajawahi Kuwajua wanafanana rangi gani!

Moving on ndo mpango mzima, kujikwaa imo bwana! Nkisema ooh una mabango.

Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies 

WhatsApp +255 715 758 021

No comments