Sehemu Ya (20): Je, Ni Kweli Uaminifu Wa Mwanaume Ni 10% Ya Uaminifu Wa Mwanamke??
Mwanamke aliyependa, akazama, akimaanisha, anaweza kukaa
hata Mwaka bila kufanya tendo la ndoa, kama Mme wake yuko mbali... Uaminifu wa
hali ya
juu.
Mwanaume aliyependa, akazama, tena dimbwini kabisa na
kuogelea kwenye mahaba ana uwezo wa kukaa 10% ya muda ambao Mwanamke anaweza
kukaa bila kufungua zipu lake kwa mtu mwingine na bado akaendelea kuwa happy na
kusema Hes in Love...
Ukweli unaouma, Wanaume zipu zetu mbovu, kinachotuokoa ni
kwa sababu sometimes tunafungua zipu bila hisia yoyote kwa tunayemfungulia,
ilimradi Afande abdala kichwa wazi kaamka basi tunapiga mswaki... Wanawake
mpaka afungue kipochi ujue hisia zimetumika labda awe gume gume.
NAKED
TRUTH THAT Hurts.. inauma kama Kenya kurudia uchaguzi.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment