Sehemu Ya (14) : Makosa Madogo Madogo Yanayoweza Kuku Cost Unapoanza Mahusiano.
Kwa Wanawake na Wanaume, wote msikie, Kuna baadhi yenu
mnatamani kuwa na Relationship nzuri, lakini tatizo, hata Kissing tu ni
shida... Mtafeli! Unakiss na mtu ana vurugu utadhani anapalilia migomba,
haieleweki anafanya nini, hadi ukitoka
hapo unapitia dukani kununua SALIMIA
ukajichue Lips zote za moto, hoi, nyang'anyang'a. Jamani naongopa?? Hamna watu
wa aina hii??
Even Kissing is a
problem, ukipewa kulima lami si ndo utaleta maafa?? Kwani kujifunza kissing
nayo imekuwa ngumu kama Mzaramo kuongea Spanish? Wengine mnakosa na mmekosa
Wachumba hivihivi kwa kudharau hili, Day 1 tu umepewa kideti unakiss unaruka
ruka kama mabehewa ya Tazara, mdada wa watu anaona mmmh hiki kimbembe, siku ya
kukupa jibu anakwambia, ''Sorry, I think I am rushing into this relationship, I
need time to be alone''
Kumbe umeharibu
mwenyewe kaogopa tu kusema Hujui kubusu maana utampiga makofi na wengine
mtaanza kutukana bure lakini habari ndo hiyo, Utapigaje Busu kama unapigana
vita vya MAUMAU??? -Leo nmekua na akili kama za Watu wasiojulikana Amani Iwe
kwenu.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Tru That...
ReplyDelete