Sehemu Ya (11) : Siku Zoote Jinsi Ulivyoyaanza Mahusiano.. Ndivyo Unavotakiwa Kuyaendeleza.
Kama ulitumia Hela zote zile kwa ajili ya kumuimpress na
kumpeleka expensive Dinners na kumnunulia Vito vya thamani ili tu UMPATE... Kama
uli-invest kumuonyesha MIJICARE yote ileee, kumpelekea Burger za Morocco
nyumbani kwao Jet Lumo usiku,Kuhakikisha amekunywa Chai, Kala Lunch na Dinner na kama Ameoga ili tu UMPATE...
nyumbani kwao Jet Lumo usiku,Kuhakikisha amekunywa Chai, Kala Lunch na Dinner na kama Ameoga ili tu UMPATE...
Ni kipi kinakushinda leo Kumantain Nguvu ileile
uliyotumia, Pesa ulizotumia na MACARE laki 9 uliyomuonyesha kipindi kile
unamtaka, leo amekubali na amevutika akasema NDIO, kila kitu kimeyeyuka ghafla
kama Imani ya Zito Kabwe kwa wananchi??
Laiti Kipimo kilekile na nguvu ile ile unayotumia wakati wa
kumfuatilia awe wako ukiitumia kuendelea kumu-impress wakati akiwa Mpenzi kwenye
Himaya yako, Tusingeona hizi Relationship zikipinduka na watu wakilia kama
tunavyoona huku mitaani... Promise What You can Deliver and Demonstrate what
you can Endure.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment