Sehemu Ya (150) : Nna Ushauri Wa Kimaisha Kidogo Hapa... Unaweza Kukujenga.

Usijenge urafiki na starehe wakati shida ni jirani yako, hakuna tuzo za ngono
zaidi ya ukimwi. Jipange mtu wangu maisha magumu na umri haurudi nyuma, wazuri ni wengi lakini yupo umpendae zaidi ya wote onesha kumjali, kumheshimu, kumthamini na kumuonesha yeye ni wa pekee kwa kumwonesha upendo zaidi, 

Kupenda mtu mmoja tu, usijifausijifanye umelaaniwa kuwa mzinzi MICHEPUKO SIO DILI MTU WANGU, BAKI NJIA KUU, Utajiingiza kwenye mtandao wa magonjwa bila kudhamiria. Epuka maradhi ya kujitakia.

Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Ili Kupata Posts Zangu Kirahisi Zaidi Kwenye Simu Yako.http://www62.zippyshare.com/d/FvrvpQQg/31722/xxlbongotz.apk
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments