Sehemu Ya (147) : S I N G L E M O T H E R S.. Nna Ushauri Kwa Ajili Yenu.. Unaeza Jifunza Kitu Hapa.
Usijalaumu kuzaa na mwanaume aliekuwa hana lengo la kuishi na wewe, wala
usiiweke akili yako kwenye tumaini la kusaidiwa kulea mtoto wako na mwanaume ambae hakuona umuhimu wa kiumbe ulichobeba tumboni mwako. Kama alidiriki kukukana na kukataa kiumbe kilichokuwa tumboni wakati huo, leo umezaa unadhani anaweza akawa na moyo wa dhati wa kumlea au kumuhudumia mtoto wako?
Ni wakati wako wa kifanya mageuzi sasa, utukufu wa Mungu upo mbele yako, mshukuru Mungu kwa zawadi ya mtoto kisha simama na parangana juu ya maisha yako na mwanao, usipoteze muda wako kum_bembeleza mwanaume ambae hakuwa radhi kuzaa na wewe eti amuhudumie mtoto wako.
Wala usijidanganye ukianzisha mahusiano na mwanaume mwengine eti atampenda mwanao kama anavyokupenda wewe, never, ni wanaume wachache sana wenye moyo wa kulea watoto wa mwanaume wenzao.
Hivyo basi acha kubweteka ukisubiri ndoto za alinacha kutokea, fanya maamuzi ya kusimama mwenyewe na kusonga mbele, anzisha bihashara zako, kuwa mjasiliamali, ungeza juhudi ktk utafutaji ili kumlea mwanao na kuboresha maisha yako, acha fikra mbovu za kuwategemea wanaume ndio uishi, pambana kukuza uchumi wako, kaa mbali na wanaume waraghai wenye tabia za kuzalisha wanawake na kukimbia acha mazoea nao kabisa.

Weka mikakati imara na madhubuti ya kumlea mwanao kwenye misingi bora na si ya kusaidiwa saidiwa na wanaume wenye lengo la kukuchezea au kukuongeza mtoto mwengine alafu wakukimbie tena. Ukweli ni kwamba Mungu huumbariki yeyote mwenye nia ya dhati juu ya mafanikio, utukufu wa Mungu hauna kipimo na Utafanikiwa kwa neema zake.
Post a Comment