Sehemu Ya (77) : Jinsi Ladies, Mnavosababisha Wanaume Wenu "Kuchepuka" Bila Nyie Kujua.
Wanawake wamekuwa Mabingwa sana wa kulaumu Wanaume kwanini wanacheat
sana.. Na wanaamini kwamba Wanaume hawana Reason ya Kucheat maana wao wanadhani
wamefanya yoteeee, sasa kwanini jamaa acheat??
Leo naleta kwenu Aina ya Wanawake ambao wao wenyewe kwa hiari,
wanafanya mambo ambayo ni Greenlight kwa Mwanaume kucheat... WAZEE WA MUDA
Hawa ni mabingwa wa kuhesabu dakika.... Utasikia humalizi tu.... Jamani
nusu saa bado upo tu huchoki.... We mwanaume robo saa si tayari unanikomoa??
Nani akukomoe wewe!!
We Mwanaume hiyo ndo style gani....
Nani kakufundisha hii mbona hatujawahi kufanya.....
Sasa haya Mapenzi au Interview???
Yaani muda wote mnapepeta ye anauliza maswali tu kama OCD wa Polisi
Mabatini, sasa raha utasikia saa ngapi??? Mwanaume anajipinda ili akufikishe
wewe umekazana na Questionnaire yako.... Mara kidogo filimbi hiyo..... utasikia
Maliza bwana mi nimechoka..
Yaani kauliza maswali weeeeeee, halafu anakwambia
Maliza.... Dah, ukute we ndo kwanza uko Chalinze, unaambiwa maliza, sasa sijui
utafika Ubungo Stendi na Ungo.... Kwakweli, kama uko hivi, sishangai Mmeo
akicheat, kosa ni lako mwenyewe!
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment