Sehemu Ya (75) : Wapenda Kukagua Simu Za Wapenzi Wao Hii Inawahusu Kinoma Noma.
yake... Personal Property... Kuwa mpenzi wake hakukufanyi uwe
owner wa Personal Property yake wala information yoyote kwa simu yake.. Huo ni
wendawazimu.
Kukimbilia simu ya mpenzi wako ni sawa na kusikia Lori la
Mafuta limeanguka na kukimbilia kuchota, UTAUNGUA! Kaa mbali na simu ya mpenzi wako, no matter how tempting it
is to sneek it... Mapenzi Ya Sikuhizi Ruksa Kushikana Shikana Na Sio Kushikiana
Simu.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment