Sehemu Ya (74) : Je, Unamwambia Nini Mpenzi Wako Baada Tu Ya Kukutimizia Haja Zako?

Unamwambia nini mpenzi wako baada ya match kuisha???
Know the power of the two words.... POLE.... na ASANTE!
Sio unanyanyuka tu na kuwahi boxer utadhani umetoka kuvua dagaa.

Ndio, MEN, naongea na nyie... na wengi mnapenda kwenda guest house za mia mbili umeme ukikatika mnatumia mishumaa kama mnasali misa ya kwanza  imagine hapo kweli utakumbuka kusema asante wapiiiiii.. Kalagabaooooo.

Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments