Sehemu Ya (72) : Hata Kwenye Mapenzi Kuna Second Chance.
Second Chance kwa wewe uliyeumia kujaribu kusahihisha makosa
yako ili this time usiumie tena...
Mungu hachoki kusamehe ingawa anapenda ukitubu usifanye
tena.... Love inatamani usirudie makosa yaliyokufanya uumie mara ya kwanza.
Dont loose hope, there is always a second chance in Love,
Kuumia mara moja haijustify Love kuwa mbaya, jifunze, Fall in love again and
again, dont loose hope as God doesn't get tired from forgiving Sinners.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment