Sehemu Ya (120) : Ladies Wanaojiona Wazurii Saaana Hii Inawahusu Saana.

Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila
Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani, urembo wako hauwasumbui, uzuri wako hausaidii kitu.

Na utashangaa no one is paying attention, watu utakaowapata ni walewale wazembe wa fikra, na hawana future, utabaki unatumiwa bure. kila siku unatoa macho. Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana, madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri, la hasha!

Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako mheshimu, maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka.
Sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako, maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo, Watch out, drama zina mwisho.


Leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa, usidhani wanaume hawaumii, wanaumia sema hawasemi tu, machozi yao kama ya samaki, wanalia ndani kwa ndani.

Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Ili Kupata Posts Zangu Kirahisi Zaidi Kwenye Simu Yako.http://www62.zippyshare.com/d/FvrvpQQg/31722/xxlbongotz.apk
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments