Sehemu Ya (117) : Ujumbe Kwa Wapendanao, Unaeza Jifunza Kitu Hapa.

Mpenzi wa kweli ni yule anayekubali mapungufu yako na kukusaidia kuwa
mkamilifu , kisha anakubali na kusahau  mahusiano yako ya nyuma.

Mpenzi bora , anakupa support ya vitendo kwa maneno  kwa wakati uliopo na kukupa faraja ya kutimiza ndoto zako na malengo yako wakati ujao na kuthamini  karama yako kwa maneno matamu na yenye rutuba.

Mwanaume bora siku zote huogopa kumpoteza mwanamke bora daima. Bila kusahau mwanaume bora huwa hapendi wanawake wengi bali humpenda mwanamke wake mmoja  kwa njia nyingi.

Penzi bora ni lile lenye kutofautiana na sio penzi lenye usiri unaotunga mimba ya utengenao  siku siri zigunduliwapo.


Love is like war Easy to start, difficult to finish and impossible to forget.

Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Ili Kupata Posts Zangu Kirahisi Zaidi Kwenye Simu Yako.http://www62.zippyshare.com/d/FvrvpQQg/31722/xxlbongotz.apk
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments