Sehemu Ya (6) : Raha Tule Wote Ila Kulipa Nilipe Mie.??
Wahurumieni Wanaume jamani... Hivi Hotelini lazima Wanaume
ndo walipe??? Hata kama Initiator aliyeomba mechi ni Mwanamke, why???
Kama raha si tunapata wote, na si ajabu Kiuno Mwanaume ndo
anakata zaidi sasa kwanini msala wa Bili tumesusiwa??
Msaada wa kimawazo, Je, kuna haja kuwa na Cost Sharing
kwenye hizi Bills ili wote tupate raha?? Maana unaweza kuwa unakaza Kalio kumpa
raha ghafla unakumbuka Bill uliyolipa Utamu unakata... Mnaonaje???
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
kwani wanaelewa basi?....hata ungesemaje kiukweli wamekuwa wakitanguliza masilahi yao kupita kiasi.
ReplyDelete