Sehemu Ya (54) : Unawajua "Mashem-Darling" Kwenye Mahusiano??
Kama hakuridhishi Kitandani hiyo ni Siri yenu nyinyi.
Anayekutuma uende
kumhadithia Shosti wako ni nani?? Atakusaidia nini... Au na
akili zako za funza unaenda kumwambia jirani, ili akushauri nini??
Siri za ndani ni za ndani na mnakufa nazo wenyewe...
USitegemee Shosti atakusaidia, Sana Sana akisaidia saanaaa, ataenda kusambaza
umbea kwa wengine... Wengi wenu mnajikuta mnapinduliwa na mashosti mnaowaamini
sana mkidhani wanawatunzia siri KUMBE, wanakuzunguka jamaa anabandua, anapiga,
wewe unabaki unatumbua macho umezungukwa kitambo na huyo BFF.
Mashosti wamegeuka Ma--BABY SHEM,
Utasikia Baby shem leo
nakuja, anakolezwa kilingeni unatoswa wewe na domo lako lepelepe... Jifunze
kufunga mdomo.. Kama hawezi mfundishe hadi ajue .... shikamoo Mashem Darling
popote mlipo.
Bonus.. Kumpenda Mtu Asiyekupenda Ni Sawa Na Mwanaume Rijali
Anayekazana Kutega Masikio Kumsikiliza Shoga Akimshauri Jinsi Ya Kumridhisha
Mwanamke kitandani. How Can you?? Ni Sifuri..
Penda Pale Unapojua Umependwa, Usiforce Kumpenda Mtu Asiyeonesha Response Ya Penzi lako....Shoga Hamfundishi Rijali Kazi Maana Shoga Lenyewe Mtihani..
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter ,@KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment