Sehemu Ya (45) :Tumia Macho Uliwe Kichwa.. Kwenye Kutafuta Mwenza Wako.
Tumia Macho uliwe kichwa... Kila mtu sasa hivi macho mbele,
macho kodo, anatafuta 'Somebody material' ajibanze ili apewe nafasi ya kuwa
aidha Raisi wa
Familia (MME) au ateuliwe kuwa Waziri Mkuu wa Familia (MKE)
Tumia Macho uone... Utaibuka na gubegube limetumika balaa,
limechoshwa, limetobolewa-tobolewa kama neti ya msaada kwa watu wa marekani,
halafu likifika kwako lina-pretend, kwa adabu, unapewa maji anapiga
goti,unaitwa Mme wangu mara 79 kwa siku.. Kila kitu mme wangu, umepiga mswaki
mme wangu, umetoa nyama kwenye meno mme wangu, mme wangu this and that...
Ukikaa kibla tu Ngassa anatikisa Nyavu.
Mtaani kila mtu Wife/Husband Material... Kila ukimuuliza
hobby yake anakwambia ana hobby ya kuimba kwaya, mtu huyo huyo mlevi wa kutupwa
anafahamu Gesti zote mjini kuliko anavyofahamu Table ya 7..... Anakwambia i
love kids so much wakati ametoka kutoa Mimba ya 9 wiki 3 zilizopita..
UKICHAGUA KWA MACHO NDOA ITAKUTOA MACHO... THIS WORLD IS
FULL OF PRETENDERS...bASK GOD FOR GUIDELINES... Kila mtu mtaani amekuwa msanii
kuliko Steven kanumba.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter ,@KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment