Sehemu Ya (43) : Ladies, Mbinu Ni Zile Zile Zinazotumiwa Na Wanaume Kuwa Vua Kama Samaki.
Acha kuwa kama wale wenzio waliodanganywa hivyo wakaishia
kumegwa na kutupwa kule pamoja na kujaribu kujitoa nje ya gunia,
haikuwasaidia.. Naongelea wewe ambaye Umetishiwa Nyau
kwamba hawezi kukuoa
wala kuwa kwenye Mahusiano na wewe kama huta-surrender Uchi ufanyiwe upembuzi
yakinifu ETI kwa sababu hayuko tayari kuuziwa MBUZI KWENYE GUNIA..
Kwani huwa wanataka kujua nini zaidi?? Alipokuwa
anakutongoza Si alijua wewe ni Mwanamke??? Una Maziwa?? Unableed kila mwezi??
Unakojoa Umechuchumaa?? Sasa Mbuzi yupi wa kwenye Gunia anayemuongelea?
Akikwambia hawezi kuuziwa Mbuzi wa kwenye Gunia Mwambie Mbuzi
wa kwenye Gunia ni Mbuzi Jike, kama kuna zaidi aseme. Mbinu hii imekufanya Uwavulie Nguo Wanaume kibaooooo na kila
mmoja baada ya kufungua Gunia lako aliishia kulitupa njiani na Mbuzi ukaachwa
utengenezewe Supu Bar.
WANAUME NI WALE WALE, MBINU NI ZILEZILE, NA MNAMEGWA KWA
UPUMBAVU ULEULE... Aisee mnachosha! Sory kwa maneno makali.
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter ,@KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment