Sehemu Ya (16) : Ladies, Love Making Sio Heka Heka Kama Za Geah Habibu Mjue.



Tangu Wanawake wajue kuna Makungwi wa kufunda hatuhemi, sijui hata wanafundishwa nini huko... Maana wakitoka kufundwa wanakuja kufanyia majaribio mafunzo kwa Maboyfriend sasa, Mapenzi yanakuwa vita, wanataka
kuonyesha wamefuzu na wewe hujui kitu, unaweza kupata degedege maana hata kama ndo machejo sasa yamezidi, Kitanda chenyewe chaga sio za Mpodo, hekaheka kama Geah Habibu... Wengine mmepewa mafunzo ya Certificate mnakuja kukatika Diploma kwenye Mazoezi, ladha yote kushnehi... Hii ni kwako we Mwanamke unayejua Love making ni Hekaheka, tulizana mama kununua chaga kila mwezi Inahusu???

Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments