Sehemu Ya (3) : Making Love Sio adhabu.. Sio Assignment Inayoenda Kusahihishwa.

.
Usiwe so serious ukiwa unafanya Mapenzi utadhani umewekewa target na bosi
basi unakimbia kimbia bila kujua uelekeo unaoenda ni sawa au si sawa...TULIA.... Ongea na Mpenzi wako, anajisikiaje, ulipogusa ni sawa au si sawa, TALK... Inasaidia kupunguza Tension na kulifanya Tendo kuwa adventurous... 

Kuongea wakati wa tendo kunamsaidia pia Mwanamke kufika
kileleni kwa urahisi coz anakuwa at ease state, na anakuelekeza nini cha kufanya.... Sasa kama we ni kidume unarukia tu kama umeona Bajaj za Mwenge, hujui anasikiaje we upo tu kama unajaza upepo.. HATUENDI HIVYO... Communication is Power... 

Ongeeni, sio mnaguna guna tu no talk utadhani mnasaga Mahindi.. Mapenzi hayaendi hivyo, Mapenzi ni sanaa...Kuweni wabunifu mtaona tofauti.
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Ili Kupata Posts Zangu Kirahisi Zaidi Kwenye Simu Yako.http://www62.zippyshare.com/d/FvrvpQQg/31722/xxlbongotz.apk
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies 
WhatsApp +255 715 758 021

No comments