Sehemu Ya (2) : Money Talks, Ulimi Unadanganya Sometimes.
Ukiwa na hela hata wanawake waliokukataa kwa kigezo kwamba 'You are not
good looking' utashangaa wanakutumia meseji za 'Hallo Handsome how are you' japo wanajua kabisa una sura kama Tambi za jiko la mafuta..
My fellow Men, leo nna double portion status kwenu..
1.Kama Mwanamke anasema Ur not good looking leo, halafu kesho umepata fuba anaanza ku-pair Bluetooth, kaa nae mbali.. Heshimu mwanamke anayejua ur not good looking akakupenda as ur, akaku-support mka-hustle mpaka ukafika hapo ulipo angalau kale ka-uhandsome kalikokuwa hakapo kameanza kuonekana kwa walio nje...
maana wengi wetu hatuna shukrani kwa wapenzi wetu wanaotupenda kwa misura yetu mibovu na umaskini, tukipata hela tunataka tubadilishe kila kitu.. Usifanye hilo kosa, kupendwa ukiwa na hela ni rahisi kama mlevi kubanwa na kwikwi... A true Lover utamjua when ur nothing, atakuvumilia from the scratch, Wanaume tunajisahau sana hili!
2.Mwanaume kuwa na hela ni sawa na Mwanamke kuwa mzuri, hela kwa Mwanaume ni dalili wewe ni Fighter, ni hard-worker,ni Success Chaser, ni Paper finder..hizi ndo aina za watu Wanawake wanataka... Sio maneno mengi unanukia Pafyumu kama muuza urembo wa Buguruni, hela huna, ur simply useless man, hupati mtu...
Fanya kazi kwa bidii, mafanikio hayaji kwa kushinda Bar na kuuza Sura Samaki-Samaki.
Hela huna na Sura huna, sasa tukusaidieje??

Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment