Sehemu Ya (99) : Ladies, Hebu Ijue "Hurka" Ya Wanaume Kwa Ufupi Hapa.
Wanaume ni sawa na chumvi ikizidi shida ikipungua shida.. sijui nitumie
maneno
gani kuelezea lakini jua tu wanaume hawaridhiki ila wanatosheka
tu... hivyo ukiolewa tambua mumeo ni
sawa na mtoto wako we hakikisha
unamtunza vizuri, unamuheshimu, anaoga, anakula, anavaa vizuri, anawahi
kurudi nyumbani na anafanya kazi kwa uhuru na kwa bidii hayo mengine unayo
yaona hapo muachie Mungu adili nayo wewe huwezi.
Hata umpe usiku mzima akitoka asubuhi kwenda kazini atatamani na
atafanya hata chooni usicheze na mwanaume.
Anapenda kitu roho inapenda viuno peleka twanga pepeta
Hahahah
Ladies, Don't Catch Feelings #AmYourFutureHusbandMayBe.😂😂😂
Watumiaji Wa "Android" Unaweza Download App Yangu Hapo Chini
Pia Unaweza Nifollow:
Facebook , Instagram , Snapchat , Twitter @KissToTheLadies
WhatsApp +255 715 758 021
Post a Comment